- 2,288 viewsDuration: 3:18Wafanyikazi wa umma watapata sababu ya kutabasamu mwisho wa mwezi huu baada ya Tume ya Mishahara nchini (SRC) kuidhinisha nyongeza ya mishahara na marupurupu ya watumishi wa wote umma katika serikali ya kitaifa chini ya Mfumo mpya wa Malipo ya 2026/2027. Mabadiliko haya yataanza kutekelezwa kuanzia tarehe 1 Julai, chini ya bajeti ya mwaka wa fedha wa 2026/2027.