- 453 viewsDuration: 1:14Wazazi wa shule ya chekechea ya State House day hii leo wamewazuia maafisa wa kaunti kumhamisha mwalimu mkuu mary saburi.bodi ya wazazi imesisitiza kuwa uamuzi wa kupinga mpango wa maankuli wa "dishi na county" ulikuwa wao tangu miaka miwili iliyopita. Wazazi hao wakiongozwa na mwenyekiti wa bodi wamesema mwalimu mkuu hajakiuka sheria yoyote na katu hawatakubali ahamishwe. Bodi hiyo sasa imeitisha mkutano wa wazazi wote ijumaa huku maafisa wa kaunti wakilazimika kuondoka shuleni humo.