- 5,962 viewsDuration: 25sMwanaume mmoja amekamatwa baada ya kumsukuma chini na kumpigwa teke Mtawa wa kike wa Kifaransa huko Yerusalemu Mashariki. Mtuhumiwa alikamatwa kwa tuhuma za shambulio lenye misingi ya ubaguzi wa rangi ingawa bado hajafunguliwa mashtaka. #bbcswahili #dini #mtawa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw