Stephen Kimani na mwanawe Zacchaeus Kimani wanatatizo la figo na wanahitaji upandikizaji figo

  • | KBC Video
    8 views

    Familia moja huko Nakuru inatafuta shilingi milioni-7 kuwezesha jamaa wake wawili kufanyiwa upasuaji muhimu. Stephen Kimani na mwanawe Zacchaeus Kimani waligunduliwa kuwa na tatizo la figo na wanahitaji upandikizaji figo. Familia hiyo sasa inatoa wito kwa wahisani wawasaidie ili kupata pesa za kuokoa maisha yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News