- 1,445 viewsDuration: 3:53Mbunge wa Kapseret, Oscar Sudi, amesambaza furaha ya sikukuu leo kwa kuzipa familia mbili nyumba na vipande vya ardhi vya thamani ya takribani shilingi milioni saba kila moja. Sudi alisema alifanya hivyo kwa moyo wa shukrani na kutoa, jambo lililoibua hisia nyingi kwa waliopokea zawadi zitakazobadilisha maisha yao. Waliopata zawadi hizo ni Hermstone Makam na Peninah Manyara, ambao walitunukiwa kutokana na kumhudumia mbunge huyo kwa uaminifu na bidii kwa miaka kadhaa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive