Sura mpya ya Lodwar yavutia uwekezaji eneo hilo

  • | Citizen TV
    1,320 views

    Kwa miaka mingi mji wa Lodwar kaunti ya Turkana ulikuwa mji usiotamanika ima kwa matembezi au kwa kufanyia biashara kiasi cha sehemu hiyo ya nchi kuonekana kutengwa kimaendeleo na kuvutia uhalifu na visa vya wizi wa mifugo. Barabara mbovu eneo hilo ziliwafukuza wawekezaji huku uchukuzi ukichukua saa nyingi sana. Lakini sasa, mambo yamebadilika