Uteuzi wa Oku Kaunya kuwa msemaji wa jamii ya Teso unaendelea kuibua hisia mseto huku kundi jipya la wazee wa jamii sasa likidai alijitawaza. Wakiongozwa na Fredrick Adungo, wazee hao wamesema kuwa jamii ya Wateso tayari inatambua Mfalme wao wa kitamaduni, Paul Sande Emolot, kama msemaji halali wa jamii hiyo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive