- 750 viewsDuration: 2:33Siku mbili baada ya runinga ya Citizen kuangazia taarifa ya Sylvia Nyaboke Mokua, mwanafunzi aliyefaulu kujiunga na gredi ya 10 lakini akashindwa baada ya kukosa matokeo yake ya KJSEA, hatimaye amepata matokeo hayo. Sylvia sasa amejiunga na wenzake katika gredi ya 10, hata hivyo, bado kuna wanafunzi wengine kama yeye ambao bado hawajapokea matokeo yao.