19 Nov 2025 10:42 am | Citizen TV 77 views Duration: 1:18 Gavana wa Garissa Nathif Jama amehimiza taasisi za fedha katika kaunti hiyo kubuni huduma zinazoambatana na maadili ya dini ya kislamu ili kunufaisha asilimia kubwa ni waislamu.