Skip to main content
Skip to main content

Tahadhari ya Ebola yatolewa Busia kufuatia onyo la WHO

  • | TV 47
    43 views
    Duration: 1:52
    Tahadhari ya Ebola yatolewa Busia kufuatia onyo la WHO. Kaunya ataka vituo vya uchunguzi na karantini Busia na Malaba. Zaidi ya abiria 5,000 hupita kila siku katika vituo vya mpakani. Serikali yatakiwa kurejesha tahadhari kali kama za COVID-19. Mlipuko wa M-pox na Ebola wazua hofu ya kiafya mipakani. #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __