- 2,802 viewsDuration: 3:40Watu wanaoishi Tana River wametakiwa kuhamia maeneo yaliyo juu kwani mto huo unatarajiwa kufurika kufuatia mvua kubwa inayotarajiwa kunyesha katika muda wa wiki moja ijayo. Idara ya utabiri wa hali ya hewa ikisema kuna uwezekano wa mafuriko kushuhudiwa katika maeneo ya Garissa, Hola na Garsen huku maeneo mengine nchini yakitarajia kushuhudia mvua kubwa na ya wastani