16 Dec 2025 10:22 am | Citizen TV 170 views Duration: 1:51 Hofu imetanda katika eneo la NgareNdare mpakani mwa kaunti za Laikipia na Meru, wakazi wakihofia kuzuka kwa mzozo wa kijamii baada ya kile wanachosema ni uchochezi kutoka kwa kiongozi mmoja kuhusu ugavi wa mashamba