Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya kila mwaka ya jamii ya Waluo, Piny Luo, yaanza rasmi

  • | Citizen TV
    311 views
    Duration: 1:35
    Tamasha ya utamaduni wa jamii ya waluo PINY LUO awamu ya tano imenza rasmi katika chuo kikuu Cha Rongo kaunti ya Migori . Sherehe hiyo inatazamiwa kuwaleta pamoja wanajamii a asili ya waluo Kutoka Kenya na nchi jirani za Tanzania, Uganda ,DRC na Ethiopia lengo kuu ni kusherekea utamaduni wa waluo.