Tamasha ya muziki yaandaliwa eneo la Kuria kupinga ukeketaji ya wasichana

  • | Citizen TV
    199 views

    Washikadau wanaopinga ukeketaji katika eneo la Kuria kaunti ya Migori, wameanza mchakato wa kutumia sanaa na muziki ili kusaidia kuangamiza ukeketaji katika jamii hiyo. Wakereketwa hao wanasema wananuia kukabiliana kabisa na mila hizo potovu na iliyopitwa na wakati.