Skip to main content
Skip to main content

Tana River: Mashaka yazuka kuhusu uhalali wa matokeo ya mtihani wa KCSE

  • | NTV Video
    404 views
    Duration: 2:53
    Hofu imeibuka Tana River baada ya baadhi ya wanafunzi kupata alama za juu katika KCSE huku wasioweza kujieleza vizuri kwa lugha za Kiswahili wala Kiingereza. Wabunge, wakiwemo Mbunge wa Galole Said Hiribae, walisema kuna dalili za udanganyifu na kuonya kuwa hadhi ya elimu nchini iko hatarini. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya