Skip to main content
Skip to main content

Tanzania kinara wa mabilionea Afrika Mashariki

  • | BBC Swahili
    13,853 views
    Duration: 1:49
    Tanzania imeendelea kufanya vyema kwa nchi za Afrika Mashariki ikiwa ni nchi pekee katika orodha ya nchi saba zenye ma bilionea barani Afrika. Kwa sasa, Afrika ina jumla ya mabilionea 25, na zaidi ya mamilionea 122,500. Je nchi gani inaongoza Afrika? #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw