Tanzania imebuni sera mpya ya kimataifa, huku rais Samia Suluhu Hassan akisema hatua hii inanuia kuweka taifa hilo katika nafasi nzuri kimataifa. Sera hiyo inaangazia masuala kumi, ikiwemo mahitaji ya raia wa Tanzania wanaoishi nje ya nchi hiyo. Watanzania wengi wanaoishi nje ya nchi na ambao wana uraia wa nchi nyingine wamekuwa wakiomba kufanyiwa mabadiliko ya katiba ili kuwakubali kuwa na uraia pacha.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 May 2025
- Grief gripped Mathare B slums in Nairobi yesterday after a fire killed five residents, burnt four others, and displaced dozens of families. The fire, which reportedly broke out around 2 am, spread through a section of the densely populated informal…
20 May 2025
- Over the past three days, Kenyans have witnessed unprecedented calls from close allies of President Ruto for the arrest of several known government critics over alleged incitement and hate speech. The chorus appeared to hit a crescendo on Sunday when…