Skip to main content
Skip to main content

Tanzania yajibu Rais Ruto, yakataa madai kuhusu miundombinu ya barabara

  • | Citizen TV
    10,855 views
    Duration: 1:16
    Serikali ya Tanzania sasa inamkosoa Rais William Ruto kwa matamshi yake kuhusu uchumi wa mataifa ya Afrika Mashariki na jumla ya barabara za lami katika mataifa hayo. Ruto alidai kuwa Kenya ina barabara nyingi za lami ikilinganishwa na mataifa yote ya Afrika Mashariki. Hata hivyo, Waziri wa Ujenzi wa Tanzania Abdallah Ulenga ameyataja matamshi hayo ya Rais Ruto kuwa ya kudhalilisha na kudharau mataifa mengine na pia si ya kweli.