25 Nov 2025 8:10 pm | Citizen TV 47,851 views Duration: 38s Familia ya Odinga inaomboleza tena kufuatia kifo cha Beryl Achieng Odinga ambaye ni mwanawe Marehemu Jaramogi Oginga Odinga