Tatizo la ajira lazidi kuwa baya Afrika Mashariki#voa #voaswahili #africa #ajira #vijana #uchaguzi

  • | VOA Swahili
    283 views
    Ukosefu wa fursa za ajira ni jambo linalotia wasiwasi duniani kote, lakini hali katika kanda ya Afrika Mashariki inazidi kuwa mbaya. Wakati ahadi zinazotolewa na viongozi wa kisiasa wakati wa uchaguzi zinashindwa kutekelezwa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.