Wazazi wengi Afrika hukataa kuidhinisha upasuaji wa kurekebisha tatizo
la kupasuka mdomo lakini matatizo aliyoshuhudia mzazi wa Gift, Martina
yalimfanya kukubali matibabu hayo. Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea ripoti kamili ya operesheni zilizofanywa kwa watoto 12,500 kwa hisani ya taasisi zilizotoa huduma hii Smile Train na Kids Operation Room mjini Mombasa, Kenya. Endelea kusikiliza..
#wazazi #afrika #upasuaji #kuidhinisha #tatizo #kupasukamdomo #mombasa #kenya #martinkamau #daktari #smiletrain #kidsoperationroom #voa #voaswahili
6 Aug 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has declared his support of the proposal for the United States to review Kenya's designation as a major non-North Atlantic Treaty Organization (NATO) ally.
6 Aug 2025
- In a historic move to combat one of the most common sexually transmitted infections (STIs), the National Health Service (NHS) has launched the world’s first gonorrhoea vaccination programme in England, targeting individuals most at risk of infection.
6 Aug 2025
- When the giant landfill collapsed in Uganda's capital Kampala a year ago, Zamhall Nansamba thought she was hearing an aeroplane taking off.