Skip to main content
Skip to main content

Tazama mlipuko wa droni ya Ukraine ulivyokatisha matangazo ya moja kwa moja Romania

  • | BBC Swahili
    6,708 views
    Duration: 36s
    Tazama namna Mwandishi alivyokimbia kujificha baada ya mlipuko wa droni kukatiza matangazo ya moja kwa moja huko Romania. Ukraine ilithibitisha kwamba moja ya droni zake za majini ililipuka nje ya pwani ya Romania siku ya Juni 5. Hakuna majeruhi walioripotiwa katika mlipuko huo. #bbcswahili #romania #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw