- 14,471 viewsDuration: 27sVideo ya watawa wa shirika la 'Poor Clare nuns at the Monastery of Saint Mary of the Angels' imepata umaarufu katika mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha video wakisherehekea ushindi wa kusisimua wa Brazil wa mabao 2-1 dhidi ya Japan katika muda wa nyongeza wa Kombe la Dunia. Watawa hao walisema wanaendelea kuwa wamoja katika imani na wanawaombea wachezaji, wakisisitiza kuwa wanawaunga mkono kama "familia moja kubwa ya Wabrazil." - - #bbcswahili #watawa #kanisakatoliki #brazil #kombeladunia2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw