Skip to main content
Skip to main content

Tazama wakati bomu la Urusi likipiga upande wa Ukraine

  • | BBC Swahili
    3,920 views
    Duration: 19s
    Kamera ya gari imerekodi wakati shambulio la Urusi lilipopiga mji wa kusini wa Zaporizhzhia nchini Ukraine. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya eneo hilo, dereva wa gari hilo hakupata madhara yoyote. Mamlaka za eneo hilo zilisema watu wasiopungua sita walijeruhiwa katika shambulio hilo lililotokea Juni 30, siku ya Jumanne. - - #bbcswahili #ukraine🇺🇦 #Urusi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw