Terry Krieger anayetuhimiwa kuwadhulumu watoto kimapenzi kusalia korokoroni

  • | K24 Video
    5 views

    Mwanaume mmoja mwenye asili ya Marekani Terry Krieger anayetuhimiwa kuwadhulumu watoto kimapenzi atasalia korokoroni baada ya mahakama ya Mavoko kukataa kumauchilia kwa dhamana. Krieger aliyewahi kufungwa kwa makosa kama hayo awali, amefunguliwa mashtaka mapya sita