- 7,040 viewsDuration: 38sMji mkuu wa Venezuela Caracas, umekumbwa na matetemeko mawili makubwa yaliyoachana kwa sekunde chache. Tetemeko la kwanza lilikuwa la ukubwa wa 7.2 lililotokea katika eneo la Montalbán, magharibi kidogo mwa Caracas, kulingana na shirika la ufuatiliaji wa Utafiti wa Jiolojia wa Marekani (USGC). Sekunde 39 baadaye, tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.5 lilipiga takriban kilomita 10 ndani ya eneo hilo. - - #bbcswahili #tetemekolaardhi #venezuela Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw