Tiffany Maina ni mchezaji chipukizi wa mchezo wa sataranji yaani Chess | Jungu La Spoti

  • | NTV Video
    194 views

    Tiffany Maina ni mchezaji chipukizi wa mchezo wa sataranji yaani Chess. Alijikatia tiketi ya kuwakilisha taifa kwenye mashindano ya sataranji ya Bara Afrika kwa vijana wasiozidi umri wa miaka kumi na miwili yatakayofanyika juni nchini Afrika Kusini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya