Timu sita zimewasili kuhudhuria mashindano ya raga ya world Rugby U20

  • | Citizen TV
    348 views

    Timu za Marekani na uhispania zimewasili nchini kenya kwa mashindano ya raga ya Chipukizi kuanzia siku ya jumamosi katika uwanja wa kitaifa wa Nyayo.