Timu ya Kenya ya Rising Stars kumenyana na Morocco usiku wa leo

  • | Citizen TV
    271 views

    Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Wanaume Chini Ya Miaka 20, Rising Stars Itafungua Michuano Yao Ya Afcon Ya Wachezaji Wa Chini Ya Miaka 20 Kwa Mechi Dhidi Ya Morocco Mjini Cairo, Misri Baadaye Usiku Wa Leo.