Timu ya soka ya kutoka Trans Nzoia kushiriki Dana Cup

  • | Citizen TV
    106 views

    Timu ya soka ya mighty eagles kutoka mtaa wa mabanda wa shimo la tewa, kaunti ya trans nzoia, imeimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji chipukizi wenye ari na vipaji, siku chache kabla ya kuondoka nchini jumamosi hii kuwakilisha kenya katika mashindano ya dana cup yatakayoandaliwa nchini denmark kuanzia wiki ijayo.