Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars kuwakabili Sudan Kusini kwenye mechi ya kirafiki

  • | Citizen TV
    1,314 views

    Timu ya taifa ya Kenya Harambee Stars inatarajiwa kushuka uwanjani Kasarani kuwakabili Sudan Kusini kwenye mechi ya kirafiki kuanzia saa kumi alasiri ya leo.