Tofauti Kali zilionekana wakati wa kampeni za Kenya Kwanza Kiambu

  • | K24 Video
    154 views

    Tofauti kali zilijitokeza katika kampeni za Kenya Kwanza katika maeneo bunge ya limuru, lari na githunguri kaunti ya Kiambu. Tofauti zilikuwa baina ya wagombea wa wadhifa wa ugavana, huku aliyekuwa gavana wa kwanza wa Kiambu na kinara wa chama cha tujibebe William Kabogo, Moses Kuria wa Chama Cha Kazi na seneta Paul Kimani Wamatangi wa UDA kila mmoja akitaka kumtambia mwenzake.