Skip to main content
Skip to main content

Tofauti kati ya Eid el-Fitr na Eid el-Adha

  • | BBC Swahili
    16,557 views
    Duration: 2:24
    Eid el-Fitr na Eid el-Adha ni sikukuu mbili muhimu kwa Waislamu. Eid el-Fitr huadhimishwa baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kumalizika, huku Eid el-Adha ikiwa ni sikukuu ya sadaka inayokumbuka utiifu wa Nabii Ibrahim kwa Mungu wakati wa kipindi cha Hijja. Je unazifahamu tofauti nyingine? @mariammjahid anaelezea #bbcswahili #Eid #EidElFitr Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw