- 5,906 viewsDuration: 1:31Tovuti rasmi ya Rais, yaani president.go.ke, imedukuliwa leo, huku wadukuzi wakidai shilingi milioni 41. Wadukuzi hao walibadilisha ukurasa wa mbele wa tovuti hiyo na kuweka ujumbe pamoja na tishio la kuweka wazi siri za serikali iwapo kiasi hicho cha pesa hakitalipwa.