Skip to main content
Skip to main content

Trump aonya kuwa makubaliano na Iran 'si ya mwisho'. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    28,911 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kwamba makubaliano yaliyofikiwa na Iran si ya mwisho. Akizungumza katika mkutano wa kilele wa mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi duniani wa G7 hii leo, Trump alisema kuwa Marekani "itarudi kurusha mabomu tena" ikiwa haitapendezwa na makubaliano ya mwisho. #trump #israel #iran #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw