Skip to main content
Skip to main content

Trump: Washirika wa Marekani wajifunze kujipigania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    70,673 views
    Duration: 28:10
    Donald Trump kwa mara nyingine amewakosoa tena washirika wa Marekani akiiambia Uingereza ikajichukulie mafuta yake yenyewe kutoka Mlango bahari wa Hormuz. Hii ni kwa sababu anasema walikataa kuhusika katika kile anachokiita kuisambaratisha na kuiong'oa serikali ya Iran. Akiandika kwenye mtandao wa Truth Social, alisema: "Mtalazimika kuanza kujifunza jinsi ya kujipigania wenyewe, Marekani haitakuwepo tena kuwasaidia, kama jinsi hamkujitolea kutusaidia." mwisho wa nukuu. #Iran #Trump #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw