TSC yatangaza mwongozo wa kuwaajiri wasimamizi wa mitihani

  • | Citizen TV
    336 views

    Katika Juhudi Za Kukomesha Udanganyifu Kwenye Mitihani Ya Kitaifa, Tume Ya Walimu - Tsc- Imetoa Mwongozo Mpya Ya Kuwateua Wasimamizi Wa Vituo Na Watakaoendesha Mitihani Shuleni, Takriban Mwezi Mmoja Kabla Ya Mtihani Wa Kcse Na Tathmini Ya Kpsea Kuanza.