Tuhuma za utekaji nyara | Maafisa 4 wa kitengo maalum kilichobanduliwa kuzuiliwa kwa siku 21

  • | KBC Video
    29 views

    Mahakama ya Kahawa imeongezea upande wa mashtaka siku 21 zaidi za kuendelea kuwazuilia maafisa wanane kati ya tisa waliohudumu kwenye kitengo cha huduma maalum cha polisi kilichovunjwa ambao wanatuhumiwa kwa mauaji ya kiholela. Hakimu mkuu wa mahakama ya Kahawa Diana Mochache ameamuru wanane hao kuzuiliwa katika kituo cha polisi cha Kileleshwa na kupelekwa katika maabara ya kitaifa ya uchunguzi ili wafanyiwe uchunguzi wa sampuli za damu na DNA.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #SSU #News #mahakamani