- 7,202 viewsDuration: 2:02Cornelia Ginikanwa alishuhudia moja kwa moja Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Nigeria, akipigana pamoja na Kikosi cha Ulinzi wa Raia cha Biafra Alikumbana si tu na mashambulizi ya risasi na mabomu, bali pia alishuhudia njaa kali iliyoenea kwa watu wengi. Hakuna takwimu rasmi ya idadi ya waliokufa katika Vita vya Biafra, lakini wanahistoria wanakadiria kwamba kati ya watu 500,000 na milioni tatu walipoteza maisha, zaidi ya nusu yao wakiwa watoto. Tembelea YouTube ya BBCSwahili ili kutazama kwa urefu simulizi za manusura wa vita ya Biafra #bbcswahili #Biafra #Nigeria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw