8 Apr 2026 1:12 pm | Citizen TV 226 views Duration: 1:36 Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka imeimarisha matayarisho ya Uchaguzi Mkuu wa 2027 kupitia kongamano la washikadau mbalimbali kuhusu Usajili Kuendelea wa Wapigakura huko Kiambu.