Skip to main content
Skip to main content

Tume ya haki za kibinadamu itawasilisha kesi dhidi ya kampuni ya madini Ramula

  • | Citizen TV
    521 views
    Duration: 2:05
    Tume ya kutetea haki za kibinadamu nchini imetishia kuwasilisha kesi dhidi ya kampuni inayohusishwa na uchimbaji wa madini katika eneo la Ramula kaunti ya Siaya. Tume ikiongoza masharika mengine ya kutetea haki kulaumu mauaji ya punde zaidi ya watu wawili katika eneo hilo