Tume ya huduma za bunge | Bunge la taifa laidhinisha wanachama wapya wa tume

  • | KBC Video
    86 views

    Bunge la kitaifa limewaidhinisha wanachama wapya wa tume ya kuwaajiri watumishi wa bunge huku chama cha Jubilee kikilalamikia kutotendewa haki.Bunge hilo liliidhinisha kubadilishwa kwa seneta wa Jubilee Fatuma Dullo na seneta mwenzake wa ODM Okongo Omogeni hatua ambayo chama cha jubilee kiliihusisha na aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta kikiitaja kuwa isiyofaa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #bungelakitaifa #News #jubilee