Skip to main content
Skip to main content

Tume ya IEBC kaunti ya Makueni imeelezea wasiwasi wake kufuatia idadi ndogo ya watu

  • | Citizen TV
    189 views
    Duration: 1:56
    Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kaunti ya Makueni imeelezea wasiwasi wake kufuatia idadi ndogo ya watu waliojitokeza kusajiliwa kuwa wapiga kura na hususan eneo bunge la Mbooni huku zikiwa zimesalia siku tano kabla ya shughuli hiyo kufungwa.