Tume ya IEBC yasema baadhi ya wanasiasa ni wachochezi

  • | Citizen TV
    68 views

    Makamishna wa tume ya uchaguzi na mikapa IEBC wamefanya kikao na wanahabari kuhusu mikakati ya maandalizi ya uchaguzi. Kwenye kikao hicho, makamishna wa IEBC wanasema kuwa wametamaushwa na makundi ya wahalifu kwenye mikutano ya kisiasa pamoja na matamshi ya chuki ya baadhi kutoka kwa baadhi ya viongozi