- 165 viewsDuration: 4:24Tume ya kutetea haki za binadamu nchini imeonya dhidi ya aina yoyote ya ghasia zinazolenga wananchi kabla ya maandamano yanayopangiwa kufanyika kesho. Haya yanajiri huku baadhi ya wahudumu waMatatu, jamii ya wafanyabiashara na viongozi wa chama cha ODM jijini Nairobi wakiimarisha miito kwa wakenya kujiepusha na maandamano yenye ghasia. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive