30 Sep 2025 1:51 pm | Citizen TV 206 views Duration: 1:08 Tume ya kuajiri walimu TSC imezindua kampeni ya kutunza mazingira kupitia kampeni inayoitwa walimu na mazingira bora, tume hiyo imewataka walimu wote nchini kupanda na kutunza miti mitano kila mmoja.