Skip to main content
Skip to main content

Tume ya uchunguzi yaundwa Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    26,670 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,ameunda tume ya kuchunguza matukio ya ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa terehe 29 oktoba nchini humo. Mohamed Chande Athman aliyekuwa jaji mkuu mstaafu ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa kuiongoza tume hiyo. Hata hivyo tume hiyo imekosolewa na chama cha upinzani cha ACT wazalendo kwa kile wanachokitaja kuhusishwa kwa maafisa wa serikali wanaofaa kuchunguzwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw