Skip to main content
Skip to main content

Turkana: Vijana waandamana kwa amani kuhamasisha jamii dhidi ya matumizi mabaya ya mihadarati

  • | NTV Video
    186 views
    Duration: 3:33
    Vijana katika Kaunti ya Turkana wameandamana kwa amani kwa kutembea kilomita tano kutoka Kanamkemer kupitia Lodwar hadi Lodwar Youth Polytechnic (LOYOP), kuhamasisha jamii dhidi ya matumizi mabaya ya mihadarati, dawa za kulevya na pombe haramu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya