Skip to main content
Skip to main content

Tuzo za MEMA kuandaliwa ili kuenzi na kuimarisha talanta nchini

  • | KBC Video
    225 views
    Duration: 2:05
    TUZO ZA MEMA Wakenya wamehimizwa wawape uwezo wabubnifu kwa kukoma kufurahia tu burudani na kuimarisha ukuaji endelevu wa wabunifu hao. Miito hiyo ya kuchukua hatua inatokana na kuimarishwa kwa uhamasishaji kwamba ilhali wasanii wa humu nchini mara kwa mara hupaua umaarufu wengi wao hung’ang’ana kudumisha uthabiti wao. Wasanii walalamikia ukosefu wa uthabiti wa kifedha Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive