| Ubabe wa kisiasa | Idadi kubwa ya wabunge wa Kenya Kwanza yazua wasiwasi

  • | Citizen TV
    3,385 views

    Idadi kubwa ya wabunge na maseneta wa Kenya Kwanza na vyama tanzu umezua wasiwasi kuhusu uhuru wa bunge. Baada ya uchaguzi mkuu, mgogoro kuhusu mrengo wenye wabunge wengi baina ya Kenya Kwanza na Azimio ulizuka. Hata hivyo, baada ya Rais William Ruto kuapishwa , wabunge wengi walihamia upande wa serikali